Monday, June 24, 2013

* FADHIL ADAM ALIPOUAGA UKAPERA JANA


Ndugu, Jamaa na marafiki wakijisevia msosi baada ya Bwana mdogo Fadhili Adam (wa tatu kushoto) kuchukua jiko jana, alipofunga ndoa huko maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Hongera Bwana mdogo kwa kuwaaga rasmi Makapera.

Bwana harusi Fadhil akiwa na mkewe Bi Ashura wakiwa katika pozi la picha baada ya kufunga ndoa hapo jana.

No comments:

Post a Comment