Sunday, June 23, 2013

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA KIKAO CHA SMZ NA SMT MJINI DODOMA LEO


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Kikao cha SMZ na SMT, kiliochofanyika Dodoma Hoteli, leo. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda, na (kushoto) ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, leo ameongoza Kikao cha SMT na SMZ, kilichofanyika kwenye ukumbi wa Dodoma Hoteli, mjini Dodoma, leo. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi, Seif Idd, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amani, Ali Juma Shamhuna na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samih Suluhu pamoja na Wajumbe washiriki wa kikao hicho ambao ni Mawaziri kutoka serikali zote mbili za Tanzania Bara na Zanzibar.
 Baadhi ya Wajumbe wa Kikao hicho ambao ni Mawaziri kutoka Serikali ya Zanzibar.
 Baadhi ya Wajumbe wa Kikao hicho ambao ni Mawaziri kutoka Serikali ya Tanzania Bara.
 Baadhi ya Wajumbe wa Kikao hicho ambao ni Mawaziri kutoka Serikali ya Zanzibar.
 Baadhi ya Wajumbe wa Kikao hicho ambao ni Mawaziri kutoka Serikali ya Tanzania Bara.
 Wajumbe wa Kikao hicho.
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao hicho ambao ni Mawaziri kutoka Serikali ya Zanzibar.

*HAYA NI MAAGIZO AU NI 'ASANTE OBAMA'?

Mafundi wakiendelea na kazi ya ukarabati wa kumwaga Kokoto na kuzisambaza na kuzikandamiza, pembezoni mwa barabara ya Kilwa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mazingira kuelekea ujio wa Rais wa Marekani nchini Tanzania, Barack Obama, anayetarajia kuwasili nchini mwezi ujao

No comments:

Post a Comment