Friday, June 14, 2013

*NI KWELI AJALI HAINA KINGA?


Gari ndogo aina ya Starlet yenye namba za usajili T 794 AUN, likiwa nimetumbukia kwenye shimo lililopo pembezoni mwa Barabara Ocean, karibu kabisa na Supermarket ya Ato Z. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment