Thursday, June 13, 2013

*BREAKING NEEEEWZ!!!! MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA LANGA AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde katika chumba cha habari cha Mtandao huu, zinasema kuwa, Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya wa miondoko ya Hip Hop, maarufu kama Langa, amefariki dunia majira ya saa 11 jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa. 

Habari hizi zimedhibitishwa na Msemaji wa Hospitali hiyo,  aliyejitambulisha kwa jina la Aminiel Ligaesha.

No comments:

Post a Comment