Saturday, June 15, 2013

MSANII LANGA ANATARAJIA KUZIKWA JUMATATU MAKABURI YA KINONDONI


clip_image001
Hapa ndipo Nyumbani wa wazazi wa marehemu Langa. pichani  waandishi wa habari kutoka Star TV na EATV Wakifanya mahojiano na Wasanii. Picha ya juu ni Kalapina na picha za chini ni Kala Jeremiah
 
Ni Nyumban kwa Marehem Langa hapa Kalapina akimuongelea Mwana hiphop Mwenzie Marehem Langa,Pina amesema ameumia sana kwani Langa alkuwa Mwanahiphop aliekuwa akifata Misingi ya Hiphop.
RIP Langa

No comments:

Post a Comment