Saturday, June 15, 2013

"WATU WAWILI WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA NA MLIPUKO WA 'BOMU' MKUTANO WA CHADEMA SOWETO ARUSHA

 
Habari zilizotufikia katika chumba za habari cha Mtandao huu hivi punde zinasema kuwa watu saba wamejeruhiwa vibaya na kitu kinachozaniwa kuwa ni bomu, katika mkutano wa Chadema, uliokuwa ukifanyika katika eneo la Soweto katika uwanja wa Kikapu jijini Arusha majira ya saa kumi na moja na nusu jioni ya leo.

No comments:

Post a Comment