Sunday, June 23, 2013

*JICHO LA SUFIANIMAFOTO NDANI YA MJI WA DODOMA LEO


 Mitaa ya Stendi ya Mabasi yaendayo Mikoa mingine katika Mji wa Dodoma, Eneo hilo kwa sasa kuna Stendi isiyo rasmi kutokana na ujenzi wa Kituo hicho ambapo mabasi hulazimika kuegesha pembezoni mwa barabara kubwa huku yakipakia kwa foleni moja baada ya jingine.
Huku nako ni stendi ndogo iliyopo Mtaa wa Majengo ambayo huegeshwa magari yanayokwenda katika vijiji vya Mji wa Dodoma na Wilaya zake

No comments:

Post a Comment