Friday, June 14, 2013

*RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA TAMASHA LA URITHI WA MILA NA UTAMADUNI WA MANGAPWANI-UNGUJA


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mlezi wa Tamasha la Urithi wa Mila na Utamaduni wa Mangapwani Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,alipowasili katika uwanja wa Tamasha  huko Mangapwani Wilaya ya Kaskazini B,Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(kulia) akiangalia Ngoma ya Mwanandege alipowasili kulifungua  Tamasha la Urithi wa Mila na Utamaduni wa Mangapwani leo huko Mangapwani Wilaya ya Kaskazini B,Unguja,(wa pili kulia) Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha la Urithi wa Mila na Utamaduni
wa Mangapwani Mwinyi Jamal Ramadhan Nasib.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (kulia) na  Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha la Urithi wa Mila na Utamaduni wa Mangapwani Mwinyi Jamal Ramadhan
Nasib,wakiangalia Watoto waliocheza ngoma ya Kibati wakati sherehe za
Tamasha la Urithi wa Mila na Utamaduni wa Mangapwani leo huko

Mangapwani Wilaya ya Kaskazini B,Unguja,alipofungua Tamasha hilo. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPO CHINI

No comments:

Post a Comment