Tuesday, June 4, 2013

*IDDY BONGE AJIANDAA KUCHAPANA NA BAHATI MWAFYELA IDD PILI


Kocha wa Masumbwi, Kwame Mkuluma (kulia) akimwelekeza Bondia Iddy Kipandu 'Iddy Bonge' jinsi ya kutupa makonde mazito wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na pambano lake linalotarajia kufanyika siku ya Idd pili kwenye Ukumbi wa Frieds Kona Manzese, jijini Dar es Salaam. Bonge anaendelea na mazoezi hayo Kigogo Mburahati jijini kwa ajili ya kukabiliana na Bahati MwafyelaPicha na Super D.

No comments:

Post a Comment