Monday, June 10, 2013

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI, ABSALOM KIBANDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariori wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, AbsalomKibanda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu.

No comments:

Post a Comment