Monday, June 3, 2013

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASIMU YA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KARIMJEE DAR LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiinua juu na kunyesha Kitabu cha Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika leo katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, (kushoto) ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.
 Meza kuu ikiwa na baadhi ya Viongozi wakuu wa Serikali na Jukwaa la Tume ya Katiba mpya.
 Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe (kulia) akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake katika hafla ya uzinduzi wa rasimu ya Katiba hiyo.
 Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa bize kunakili kila kinachozungumza mahala hapo.
 Baadhi ya wazee waasisi waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo leo.
 Sehemu ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari, waliohudhuria hafla hiyo, wakiwajibika

No comments:

Post a Comment