Friday, June 7, 2013

*MWILI WA MUME WA KHADIJA KOPA, JAFAR ALLY, WAZIKWA LEO BAGAMOYO


Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu mume wa Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, Jafary Ally,  ambaye ni Diwani wa CCM Kata ya Magomeni, wakielekea mazikoni leo. Marehemu Jafar Ally, alifariki dunia jana alfajiri katika Hospitali ya Lugalo kwa kile kilichoelezwa alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua. Picha kwa hisani ya Juma Mtanda Blo

No comments:

Post a Comment