Tuesday, June 11, 2013

*RAIS WA ZANZNIBAR DKT.SHEIN AZINDUA MRADI WA USAMBAZAJI UMEME UNGUJA


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Balozi wa Japan nchini Tanzania  Masaki Okada.kwa pamoja wakifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji  Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Balozi wa Japan nchini Tanzania  Masaki Okada,kwa pamoja wakikata utepe  kuzindua  mradi wa uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji  Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.
 Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) wakati alipoitembelea mitambo  baada ya kuzindua  mradi wa uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji  Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif,wakifuatana wakati uzinduzi wa   mradi wa uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji  Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.
Baadhi ya mafundi na wafanyakazi wa Shirika la Umeme la Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipozungumza katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa uimarishaji Miundombinu ya Usambazaji  Umeme Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Mtoni Kituo Kikuu cha Umeme,Wilaya ya Magharibi Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

No comments:

Post a Comment