Wednesday, June 5, 2013

*ASKARI 29 WA JESHI LA MAGEREZA WA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI WATUNUKIWA NISHANI


Askari Mwanamke akitembea kwa ukakamavu kuelekea eneo linalotumika kutunukia Nishani kwa Maaskari wa Jeshi la Magereza, leo.
Kamishina Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja akimvisha Nishani ya utumishi mrefu na tabia njema SGT Yusufu F. Nzunda kutoka chuo cha Magereza Kiwira.
Baadhi ya Maaskari wakisubiri kutunukiwa nishani kutoka kwa Kamishina Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja.
Kamishina Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja  Akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa na maaskari wa Jeshi la Magereza kwa ajili yake mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo kwa ajili ya kuwatunuku nishani Maaskari.

No comments:

Post a Comment