Wednesday, June 5, 2013

*WALIOMEREMETA NA MAFOTO LEO NI GEORGE MADINDA & NEMRIS JACKSON


 Bwana harusi George Madinda,  akimvisha pete ya ndoa mkewe, Nembris Jackson, wakati wa ibada ya ndoa yao ilioyofanyika katika kanisa la Angrican  Mt. Batholomea lililopo Ubungo ,na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Mbezi Garden jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita.
Bwana  harusi George akiwa katika pozi la picha na mkewe Bi,Nembris baada ya kufunga ndoa yao Takatifu katika Kanisa la Anglican Mt. Batholomayo  Ubungo jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika katika Ukumbi wa Mbezi Garden.

No comments:

Post a Comment