Saturday, June 8, 2013

*BALOZI SEIF MGENI RASMI DHIFA YA UZINDUZI MKUTANO WA CHAMA CHA WANAFUNZI MADAKTARI TZ (TAMSA)


 Balozi Seif akikata keki iliyoandaliwa na Uongozi wa Tamsa kwa ajili ya kunadiwa kwenye Mkutano huo ili kutunisha mfuko wa Chama hicho akishuhudiwa na Rais wa Chama hicho Bwana Biswalo Yango pamoja na baadhi ya wanachama wenzake.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiingia ndani ya ukumbi wa Mbwezi Beach Motel Royal Skyline Jijiji Dar es salaam kuufungua Mkutano wa kwanza wa Chama cha Wanafunzi wa Udaktari Tanzania (TAMSA)
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiufunguwa Mkutano wa kwanza wa Chama cha Wanafunzi  wa Udaktari Tanzania TAMSA hapo Mbezi Beach Royal Skyline  Jijini Dar es salaam.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiufunguwa Mkutano wa kwanza wa Chama cha Wanafunzi  wa Udaktari Tanzania TAMSA hapo Mbezi Beach Royal Skyline  Jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment