Saturday, June 8, 2013

MWIGIZAJI WAKIKE KUTOKA INDIA AJIUA KISA WIVU WA MAPENZI


Mwigizaji, Jiah Khan amekutwa amekufa nyumbani kwao ambapo anaishi yeye ,dada yake pamoja na mama yao.inasemekana amejinyonga baada ya kwenda kwa rafiki yake wa kiume aitwae Suraj Pancholi nakumkuta na mwanamke mwingine.


Suraj Pancholi na Jian Khan enzi za uhai wake 
Taarifa kutoka nchini India zinasema kuwa Muigizaji maarufu nchini humo "Jiah Khan" 
amekutwa amekufa juzi kwa kujiuwa kwa kile kinachodaiwa aligundua Boyfriend wake ana mwanamke mwingine....
Mama yake na Khan amesema kwamba  alikuta mwanae tayari ameshakufa na Police bado 
wanachunguza chanzo cha kifo cha mrembo huyo ila baadhi ya majirani walizungumza na Mtandao wa BBC na 
kusema kua wanachojua mwanadada Khan alikua na mkwaruzano na BF wake.....
Jiah Khan amefariki wakiwa na Miaka 25 na alijipatia umaarufu mkubwa Inchin india baada ya kuigiza na mkongwe wa tasnia ya movie anaijulikana kama Amitah Bachchan na pia aliweza kuigiza na Aamir Khan na Akshay Kumar. 
mwili wa Jiah Khan ulipelekwa Hospital kwa uchunguzi zaidi.....
Jiah Khan enzi za uhai wake akiwa na Amitah Bachan
 
Waomborezaji wakiwa wamebeba
 jeneza ulimo mwili wa Jiah Khan
Khan alizaliwa New York na akakulia London kabla ya
 kwenda Mumbai India na kujiingiza kwenye
 mambo ya sanaa ya uigizaji wa filamu...
Filamu yake ya Mwisho kuigiza inaitwa Housefull a
mbayo ilitoka mwaka 2010..


No comments:

Post a Comment