Sunday, June 9, 2013

*BARABARA YA KINONDONI KUTOKEA MANYANYA YAFANYIWA UKARABATI


Wafundi wakiongoza magari katika barabara ya Kinondoni, wakati wakiifanyia marekebisho barabara hiyo iliyokuwa ikisababisha foleni kubwa kutokana na kuwa na mashimo mengi. Barabara hiyo hivi sasa imekamilika

No comments:

Post a Comment