Sunday, June 9, 2013

*JOSE CHAMELEON ALIVYOWAPAGAWISHA WABONGO WA MAREKANI JANA

Juu na chini mashabiki wakiwa wamepagawa na Chameleon.
Chemeleon akizidikuwachengua mashabiki.
Mashabiki wakipagawika huku wengine wakipata ukodak moment na video ya makamuzi ya Chemeleon.
Chameleon akipozi na Dj.Umoshi Fire.

Mwananmuziki wa UG Flava Chameleon jana Jumamosi aliwachengua vilivyo mashabiki wake wa DMV kwenye makamuzi yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani. 

Chameleon ambaye yupo Marekani kwa ziara ya kimuziki ambapo kabla ya kutua DMV alitokea Washington State na baada ya hapa ataelekea Massachusetts na sehemu nyingenezo ikiwemo Canada. Pichani Chemeleon akiwa chumba cha mapumziko kabla hajaanza makamuzi

No comments:

Post a Comment