Monday, June 10, 2013

*DHAMANA YA RWAKATALE YADUNDA TENA, KUKAMILIKA KESHO



Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) Lwakatare pichani (kulia) akiwa na mwenzake Ludovik katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo mchana na watuhumiwa wenzake wakati walipofikishwa kusikiliza kesi yao na kuhusu dhamana. Sasa watuhumiwa hao wanatarajia kupata Dhamana Kesho Dar es Salaam, baada ya kukamilisha taratibu.
Baadhi ya wananchi na wafuasi wa Chadema waliofika Mahakamani hapo leo.Lwakatare akifunguliwa pingu baada ya kuwasili Mahakamani hapo.

No comments:

Post a Comment