Monday, June 10, 2013

*DKT. KAMALA AHITIMISHA KIKAO CHA MBALOZI WA AFRIKA UBELGIJI


Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika  Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akihitimisha  Kikao cha Mbalozi wa Afrika Ubelgiji. Balozi Kamala amewaalika Mabalozi wa Afrika na Wadau wengine wa maendeleo kuhudhuruia Mkutano wa Ushirikiano kwa Manufaa wa Wote utakaofanyika Tanzania kuanzia tarehe 28/06/2013 hadi tarehe 1/07/2013. Aidha, alizitaka nchi za Afrika na Ulaya kuimarisha Ushirikiano katika sekta ya teknolojia

No comments:

Post a Comment