Sunday, June 2, 2013

*MASHINDANO YA MBIO ZA MBUZI ZA HISANI 2013 YALIVYOTIMUA VUMBI JIJINI DAR JANA


 Mbuzi wakishindana katika mbio zilizopewa jina  ‘Symbion Sweep Stakes’ wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam jana.
 Mbuzi wakishindana ili kumpata mshini wa katika mbio zilizopewa jina  ‘The Southern Sun Fillies Frolic’ wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam jana.
 Hawa nao walitoa burudani wakati wa mashindao ya mavazi ya kufurahisha  wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam jana.
 Mbuzi wakishindana katika mbio zilzodhaminiwa na Benki ya FNB zilizopea jina la ‘The FNB Champions Cup’ katika mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam jana.
 Washindi wa mbio za mbuzi za ‘Marvelous Mantra Mile ’ wakipiga picha pamoja na mbuzi wao aliyeibuka kidedea katika mbio hizo  wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam jana.  
Mbuzi wakiwekwa tayari kuchuana katika mbio za ‘The Coca Cola Open Happiness Sweep Stakes’    wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam jana. Picha na Peter Mgongo

No comments:

Post a Comment