Monday, June 3, 2013

*MKUTANO MKUU WA 12 WA MWAKA WA VITUO VYA ELIMU KWA NJIA YA MTANDAO KUTOKA NCHI 15 ZA AFRIKA (AADLC) WAFANYIKA DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu ofisi ya Raisi na utumishi wa umma Bw Georg Yambesi (kulia) akiongozana na Mkurugenzi (DLC) kutoka  Senegal Bwana Mor Seck.
 Katibu Mkuu ofisi ya Raisi na utumishi wa umma Bw Georg Yambesi (kulia) akijadiliana jambo na Rais wa (AADCL) na Mkurugenzi (DLC) kutoka  Senegal Bwana Mor Seck (kushoto) kwa Yambesi ni Mkurugenzi mtedaji wa (TAGLA) Charles Senkoro.
Katibu mkuu wa ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma GEORGE YAMBESI amewataka wajumbe wa umoja wa vituo vya elimu kwa njia ya mtandao barani AFRIKA washirikiane na makampuni ya TEHAMA na simu za mikononi kuwafikishia elimu wananchi walio maeneo ya Vijijini Bwana Yambesi ndiye aliyeufungua mkutano huo leo picha na Chris Mfinanga.
Blog ya Vijimambo ikishirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini, Washington, DC, Marekani na Jumuiya ya Watanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia wameandaa sherehe ya  miaka 3 ya Vijimambo na kukuletea tamasha la kuendeleza lugha na utamaduni wa Kiswahili nchini Marekani ili watoto wanaoishi nchini humo waweze kuendeleza matumizi ya lugha hii na utamaduni wake kizazi hadi kizazi. 
Siku ya July 6, 2013  hapa DMV kwenye Hall la Hampton Conference Center lililopo 
207 w Hampton Pl, 
Capitol Height, MD
Mambo mengi yatakuwepo, Vikundi mbalimbali vya utamaduni, Asya Idarous mwanamitindo ya mavazi kutoka Tanzania akishirikiana na hapa Marekani, vyakula vya Kitanzania, Wasanii kutoka nyumbani na hapa Marekani yote ni kudumisha utamaduni wetu wa kiswahili
TEGA SIKIO, HABARI ZAIDI ZITAFUATA
-------------------------------------------------------
kwa wajasiliamali ambao wangepenga kudhamini na kuijipatia meza ya kutangaza bidhaa au shughuli wazifanyazo tafadhali wasiliana 301 613 5165, 301 661 6696 na 301 792 8562 mwisho ni June 15, 2013 Asante
NO COVER CHARGE, FREE DINNER

No comments:

Post a Comment