Monday, June 3, 2013

*MLIMA KILIMANJARO WAANZA KUREJESHA UHALISIA

Mlima Kilimanjaro hivi sasa unaonyesha kuanza kurejesha uhalisia wake angalau kwa kuanza kuongezeka Barafu kama ilivyo kuwa siku za nyumba, ambapo siku za hivi karibuni ulikuwa ukipoteza uhalisia kila kukicha kutokana na mlima huo kuzidi kukauka Barafu kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na Uharibifu wa Mazingira. Hali hii ni kama ilivyokuwa ikionekana jana mchana

No comments:

Post a Comment