Wednesday, June 5, 2013

MWILI WA MSANII ALBART MANGWEA UKIWASILI VIWANJA VYA LEADERS..


 Gari lililobeba Mwili wa Marehemu Albert Mangwea likiwa limeshawasili katika viwanja vya leaders tayari kwa wakazi wa jiji la Dar kutoa Heshima zao Za Mwisho Na baadae Kuusafirisha Mwili Mkoani Morogoro kwaajili ya Mazishi.
 Baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wana kamati wakijiandaa kuteremsha jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Albert Mangwea katika viwanja vya Leaders muda huu aliyefariki hivi karibuni Nchini Afrika Kusini
Baadhi ya Ndugu, Jamaa na marafiki wa karibu sana na Marehemu Albert Mangwea wakiwa katika sura za majonzi katika viwanja vya Leaders muda huu
  Sehemu iliyoandaliwa maalum kwaajili ya kuweka jeneza la Marehemu Albert Mangwea  wakati wa kutoa heshima za mwisho
 Umati wa watu waliohudhuria wakisubili kutoa heshima zao za mwisho.

No comments:

Post a Comment