Wednesday, June 5, 2013

*RAIS KIKWETE AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI SINGAPORE LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore

No comments:

Post a Comment