Monday, June 10, 2013

*WASHINDI REDDS MISS KIGAMBONI WATEMBELEA OFISI ZA JAMBO LEO, STAA SPOTI

Warembo wakiangalia jinsi msanifu kurasa anavyoandaa gazeti.
Warembo wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakizungumza na Mwandishi wa Habari wa gazeti dada la Staa Spoti, Zahoro Mlanzi walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hilo na la Jambo Leo, Dar es Salaam.
 Warembo wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hilo na la Jambo Leo, Dar es Salaam
 Mpigapicha Mkuu  wa gazeti la Jambo Leo, Staa Poti, Jambo Brand Tanzania na Dar Metro, Richard Mwaikenda akiwapatia warembo hao elimu ya picha za habari.
 Mwandishi wa habari za michezo, Asmah Mokiwa akizungumza na warembo hao
 Warembo wakipata maelezo kwa Proof Reader, Joseph Mabula
 Mhariri wa gazeti la Jambo Leo Jumapili, Said Mwishehe (kulia), akiwapa somo warembo hao

No comments:

Post a Comment